• Njia
  Tigo Pesa
  Muda Wa Muamala
  Papo Hapo
  Ada Ya Muamala
  Bure
  Kiwango
  Min: TZS 100
  Hatua ya 1 – Piga *150*01#
  Hatua ya 2 – Chagua 4, “Lipa Bili”
  Hatua ya 3 – Chagua namba 3, Ingiza Namba ya Kampuni
  Hatua ya 4 – Ingiza namba ya kampuni 077077
  Hatua ya 5 – Weka namba yako ya utambulisho inayopatikana kwenye akaunti yako ya WinPrincess.co.tz kama namba ya kumbukumbu. Ukisha ingia kwenye akaunti yako, namba hiyo ya utambulisho utaikuta ikifuatana na namba yako ya simu (Ziko tarakimu 7) au unaweza kuandika namba yako ya simu uliyojisajili nayo iwe namba ya kumbukumbu ya muamala wako,iandike kwa kuanza na 0 au 255.
  Hatua ya 6 – Ingiza kiasi unachotaka kuweka
  Hatua ya 7 – Thibitisha na kisha weka namba ya siri.
  Muhimu:– Inaweza kuchukua hadi dakika kumi (10) kwa kiasi chako cha pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Kwa msaada Zaidi kuhusu kuweka pesa, tafadhli wasiliana na kitengo chetu cha huduma kwa wateja au Livechat. Lakini pia, tunapendekeza kwa uangalifu mkubwa uweze kuandika kwa umakini namba yako ya kumbukumbu kabla ya kuweka pesa ili kuepuka makosa yoyote ya kimiamala, Winprincess haitowajibika kwa miamala yoyote iliyokoseshwa muelekeo./div>
 • Njia
  M-Pesa
  Muda Wa Muamala
  Papo Hapo
  Ada Ya Muamala
  Bure
  Kiwango
  Min: TZS 100
   
  Hatua ya 1 – Piga *150*00#
  Hatua ya 2 – Chagua 4, “Lipa kwa M-pesa”
  Hatua ya 3 – Chagua namba 4, Ingiza Namba ya Kampuni
  Hatua ya 4 – Ingiza namba ya kampuni 077077
  Hatua ya 5 – Weka namba yako ya utambulisho inayopatikana kwenye akaunti yako ya WinPrincess.co.tz kama namba ya kumbukumbu. Ukisha ingia kwenye akaunti yako, namba hiyo ya utambulisho utaikuta ikifuatana na namba yako ya simu (Ziko tarakimu 7) au unaweza kuandika namba yako ya simu uliyojisajili nayo iwe namba ya kumbukumbu ya muamala wako,iandike kwa kuanza na 0 au 255.
  Hatua ya 6 – Ingiza kiasi unachotaka kuweka
  Hatua ya 7 – Thibitisha na kisha weka namba ya siri.
  Hatua ya 8 – Bonyeza moja kuthibitisha.
  Muhimu:– Inaweza kuchukua hadi dakika kumi (10) kwa kiasi chako cha pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Kwa msaada Zaidi kuhusu kuweka pesa, tafadhli wasiliana na kitengo chetu cha huduma kwa wateja au Livechat. Lakini pia, tunapendekeza kwa uangalifu mkubwa uweze kuandika kwa umakini namba yako ya kumbukumbu kabla ya kuweka pesa ili kuepuka makosa yoyote ya kimiamala, Winprincess haitowajibika kwa miamala yoyote iliyokoseshwa muelekeo.
 • Njia
  Airtel Money
  Muda Wa Muamala
  Papo Hapo
  Ada Ya Muamala
  Bure
  Kiwango
  Min: TZS 1.000
   
  Hatua ya 1 – Piga *150*60#
  Hatua ya 2 – Chagua 5, Lipa Bili
  Hatua ya 3- Chagua namba 4, Weka Namba ya Kampuni
  Hatua ya 4 – Andika namba ya Biashara 077077
  Hatua ya 5 – Ingiza kiasi cha pesa
  Hatua ya 6 – Weka namba yako ya utambulisho inayopatikana kwenye akaunti yako ya WinPrincess.co.tz kama namba ya kumbukumbu. Ukisha ingia kwenye akaunti yako, namba hiyo ya utambulisho utaikuta ikifuatana na namba yako ya simu (Ziko tarakimu 7) au unaweza kuandika namba yako ya simu uliyojisajili nayo iwe namba ya kumbukumbu ya muamala wako,iandike kwa kuanza na 0 au 255.
  Hatua ya 7 – Ingiza namba ya siri kulipia
  Muhimu:– Inaweza kuchukua hadi dakika kumi (10) kwa kiasi chako cha pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Kwa msaada Zaidi kuhusu kuweka pesa, tafadhli wasiliana na kitengo chetu cha huduma kwa wateja au Livechat. Lakini pia, tunapendekeza kwa uangalifu mkubwa uweze kuandika kwa umakini namba yako ya kumbukumbu kabla ya kuweka pesa ili kuepuka makosa yoyote ya kimiamala, Winprincess haitowajibika kwa miamala yoyote iliyokoseshwa muelekeo.
 • Njia
  Halopesa
  Muda Wa Muamala
  Papo Hapo
  Ada Ya Muamala
  Bure
  Kiwango
  Min: TZS 100
   
  Hatua ya 1 – Piga *150*88#
  Hatua ya 2 – Chagua 4, Lipia Bili
  Hatua ya 3 – Chagua namba 3, Namba ya Biashara
  Hatua ya 4 – Ingiza namba ya Biashara 077077
  Hatua ya 5 – Weka namba yako ya utambulisho inayopatikana kwenye akaunti yako ya WinPrincess.co.tz kama namba ya kumbukumbu. Ukisha ingia kwenye akaunti yako, namba hiyo ya utambulisho utaikuta ikifuatana na namba yako ya simu (Ziko tarakimu 7) au unaweza kuandika namba yako ya simu uliyojisajili nayo iwe namba ya kumbukumbu ya muamala wako,iandike kwa kuanza na 0 au 255.
  Hatua ya 6 – Ingiza kiasi cha pesa
  Hatua ya 7 – Ingiza namba ya siri
  Muhimu:– Inaweza kuchukua hadi dakika kumi (10) kwa kiasi chako cha pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Kwa msaada Zaidi kuhusu kuweka pesa, tafadhli wasiliana na kitengo chetu cha huduma kwa wateja au Livechat. Lakini pia, tunapendekeza kwa uangalifu mkubwa uweze kuandika kwa umakini namba yako ya kumbukumbu kabla ya kuweka pesa ili kuepuka makosa yoyote ya kimiamala, Winprincess haitowajibika kwa miamala yoyote iliyokoseshwa muelekeo.
 • Njia
  Selcom Huduma
  Muda Wa Muamala
  Instantly
  Ada Ya Muamala
  Bure
  Kiwango
  Min: TZS 2.000
   
  Step 1 – Tembelea wakala wa Selcom Huduma karibu yako
  Step 2 – Mpatie wakala namba yako ya akaunti ya Winprincess, namba yako ya simu na kiasi cha fedha ambacho unahitaji kuweka kwenye akaunti yako
  Step 3 – Wakala ataingiza taarifa hizo Selcom kukamilisha muamala
  Step 4 – Utapokea ujumbe wa SMS papo hapo na akaunti yako ya Winprincess itaingiziwa kiasi hicho hapo hapo
  Muhimu:– Inaweza kuchukua hadi dakika kumi (10) kwa kiasi chako cha pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Kwa msaada Zaidi kuhusu kuweka pesa, tafadhli wasiliana na kitengo chetu cha huduma kwa wateja au Livechat. Lakini pia, tunapendekeza kwa uangalifu mkubwa uweze kuandika kwa umakini namba yako ya kumbukumbu kabla ya kuweka pesa ili kuepuka makosa yoyote ya kimiamala, Winprincess haitowajibika kwa miamala yoyote iliyokoseshwa muelekeo.
 • Njia
  Tigo Pesa
  Ada Ya Muamala
  Bure
  Kiwango
  Min: TZS 1.000 Max: TZS 2.000.000
  Kwa msaada zaidi kuhusu pesa uliyotoa, tafadhli wasiliana na kitengo chetu cha huduma kwa wateja na Livechat

  Step 1 – Ingiza kiasi cha fedha unachotaka kutoa
  Step 2 – Utapoka ujumbe wa SMS kutoka Selcom kuthibisha kiasi cha fedha unachoweza kutoa kwa Wakala wa Selcom Huduma kutoka kwenye simu yako
  Step 3 – Ukiwa hapo kwa Wakala
  Piga *150*50#
  Chagua namba 4 – Selcom Huduma Cashout
  Ingia namba ya wakala wa Selcom ya kutolea pesa
  Ingiza kiasi cha pesa unachohitaji kutoa
  Ingia ‘1’ baada ya kuthibitisha kiasi, namba na jina la wakala
  Step 4 – Mteja na wakala watapokea ujumbe wa SMS unaothibitisha muamala, wakala atampatia mteja pesa taslimu
  Note – Should you require any assistance with your withdraw, please contact our Call Centre and LiveChat