TUNAWEZAJE KUKUSAIDIA? WASILIANA NASI

imu yetu ya Winprincess yenye uzoefu wa hali ya juu, inatambua umuhimu wa wewe kucheza kwa sheria zilizo wazi, bila wasiwasi pamoja na kufurahia mazingira ya usalama uchezapo nasi. Tunaamin kwamba kwa kuangalia vipengele vyote tunaweza kukupa huduma bora kuliko zote ulizowahi kupata.

Kuridhika kwa mteja kwetu ndio kipaumbele na ndio maana tuko tayari kumsaidia kila mteja kutokana na mahitaji yake. Wahudumu wetu waliofuzu na kuhitimu katika kutoa huduma bora wako tayari kukuhudumia muda wote..
Kwa maswali yoyote, maelezo au ushauri, tafadhali wasiliana nasi wakati wowote na tutakuhudumia.

Timu yetu ya huduma kwa wateja itajibu maswali yako yote kwa lugha uipendayo kuanzia mida ifatayo:
Chat nasi au tuma barua pepe kwa lugha ya Kingereza au Kiswahili : Kila siku kuanzia 8:00 mpaka 23:00.
Tupigie simu kwa lugha ya Kingereza au Kiswahili : Wasiliana na timu yetu ya huduma kwa wateja kuanzia 10:00 mpaka 20:00.

Winprincess tunapenda wateja wetu wafurahie michezo ya kubashiri pamoja na michezo ya casino. Kwa kutumia maamuzi sahihi ya jinsi ya kucheza, kamari ni mchezo unaoleta furaha na usiomiza. Cheza kwa uwajibikaji! Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu ya cheza kwa uwajibikaji.

call center

+255 0800 11 7777
TOLL FREE