Weka bashiri ya mechi 8 au Zaidi kwenye Tiketi yako ya MultiBet au Beti nyingi na ikiwa mojawapo ya chaguo zako ikapoteza, tutarejesha hadi asilimia 100% ya dau lako.
Marejesho ya dau yatafanyika kama ifuatavyo:-
Idadi ya Chaguzi | Kiasi cha dau Unachorudishiwa |
10 au zaidi | 100% ya Dau |
9 | 80% Ya Dau |
8 | 50% Ya Dau |
Tiketi pekee zitakazokidhi kupokea Bonasi hii ni zile zilizopoteza Mechi moja Tu kwenye Mkeka.
Tafadhali kumbuka,Bonasi ya kiasi ulichopoteza kitatolewa ndani ya masaa 24 baada ya mechi ya mwisho katika mkeka kukamilika.