Jinsi ya Kutumia "CashOut"

Unaweza kuona kama Mkeka wako una Cash Out kwa kuangalia "MY BETS".
Chini ya kitufe cha "Active Bets", bashiri zako zilizohai zenye alama ya Cash Out zitaonekana chini ya mkeka wako,Ikiwa na kiasi unachoweza kutoa muda huo.
Bofya "Cash Out" kisha thibitisha ili kupata kiasi hicho cha bashiri hiyo husika. Bashiri zako kwenye mkeka zinatakiwa kuwa na alama ya "Cash out". (Unaweza kuona kwenye ofa alama ya cashout kabla ya kubashiri)

Winprincess inahaki ya kuamua ligi na masoko yanayostahiki kuwa na Cash Out
Tafadhali tambua,iwapo Cashout itaondolewa kwa sababu yoyote ile,Kitufe kinachoionesha hakitoonekana