KARIBU BONASI PATA 200% HADI 250.000 .

Mpya kutoka Winprincess! Jiunge leo kwa kuweka salio kwa mara ya kwanza na uongezewe 200% hadi TSh 250.000 kwenye akaunti yako!

Furahia ubashiri usiokua na kikomo muda wote kwa michezo tofauti tofauti kupitia desktop, tablet or simu.  Pia unaweza kubashiri kwa michezo inayoendelea Zaidi ya 25,000  kwa kila mwezi. Bashiri Zaidi, shinda Zaidi kwa sababu Winprincess hakuna KUSHINDWA .

Kuweka Pesa 1.

Karibu Bonasi
TSh 100.000 Hadi
 • 100%

Kuweka pesa 2.

Karibu Bonasi
TSh 50.000 Hadi
 • 50%

Kuweka pesa 3.

Karibu Bonasi
TSh 100.000 hadi
 • 50%

HII INA MAANA KWAMBA KWA ‘MFANO’ KWA KILE ULICHOKIWEKA KIKIWA JUU YA TSH 100,000 WINPRINCESS AKAUNTI BONASI ITAKUWEKEA TSH 100,000. KWA MFANO KWA KILE ULICHOKIWEKA NI TSH 101,000 KWENYE AKAUNTI YAKO SALIO LAKO LITAONEKANA NI TSH 101,000 NA AKAUNTI YAKO YA BONASI ITAKUA NA TSH 100,000 AMBACHO NI KIASI CHA JUU CHA BONASI KWA MARA YA KWANZA. HUTOWEZA KUTOA PESA ULIOSHINDA KUTOKA KWENYE BONASI ULIOPEWA BILA KUFANYA MACHAGUO YASIYOPUNGUA MATATU (3) AU ZAIDI KWA BASHIRI YAKO KUTOKANA NA THAMANI YA BONASI ULIYOPEWA, KIWANGO CHA CHINI CHA ODDS KISIPUNGUE CHINI YA 1.5.

 1. Ofa hii ni kwa wateja wapya tu.
 2. Karibu bonasi haitweza kuhamishika
 3. Akaunti za wateja waliokwishajisajili hawatahusika na promosheni hii na mteja atakayejaribu kujisajili mara mbili atafungiwa.Kiwango cha namba za michezo katika machaguo ni kuanzia michezo 3 au zaidi,ili kukidhi promosheni hii bashiri zako lazima zianzie odds ya 1.5 na kuendelea (kwa kila chaguo).
 4. Kiasi cha chini cha kuweka pesa ni TSh 10.000 na kiwango cha juu cha bonasi TSh 100,000
 5. Kiasi cha bonasi lazima kubetia mara kumi (10) katika mjumuisho wa machaguo ya bashiri zote. Kiwango cha chini cha namba za michezo kwenye machaguo ni kuanzia michezo mAtatu (3)
 6. Kukidhi promosheni hii, bashiri yako lazima isiwe chini ya odds ya 1.5 kwa kila (mechi).
 7. Karibu bonasi haitatumika kwa michezo Winprincess Casino na michezo ya Virtual
 8. Ikitokea bonasi ya kuweka haujapewa moja kwa moja baada ya kuchagua bonasi kwenye ukurasa wa kuweka pesa na endapo umekidhi vigezo vya kuweka pesa, tafadhali wasiliana na Kitengo cha Msaada kwa Wateja kupitia “barua pepe or live Chat” kwa haraka iwezekanavyo, kabla hujafanya wowote. Wafanyakazi wetu watakuwekea bonasi hiyo. Tadhali ijulikane kwamba mfumo wetu hautoruhusu sisi kukupatia bonasi kama ukiweka bashiri kwa pesa yako uliyoweka kabla ya kuwekewa bonasi yako;
 9. Ofa hii ni kwa ukomo wa mtu mmoja hautahusisha; familia, kaya, barua pepe, namba ya simu, anuani ya IP, nambari sawa ya akaunti ya malipo(mfanokadi ya malipo, kadi ya mkopo n.k) na kushea computa mfano shuleni, maktaba au sehemu ya kazi.
 10. Ukiwa umekidhi vigezo vya kuweka pesa na kupewa kiasi cha bonasi vitatumika kwenye michezo na itabaki kama ilivyo hadi ubashiri utakapokidhi vigezo.
 11. Ushindi wa bonasi utaangalia jumla ya kiwango cha ubashiri, Itategemea na vigezo vya ubashiri katika mkeka kama utaingia kwenye ushindi wa bonasi.
 12. Kuweka pesa kwa mara ya kwanza ni asilimia 100 na ushindi 10….kwa hiyo mteja akiweka TSh 100.000 (ushindi ni TSh 100.000 X 10). Ushindi utahesabika katika kiasi cha PESA na sio kwa mjumuisho wa UBASHIRI, kwa mfano ushindi is Tsh 100.000 X 10 = Tsh 1.000.000. Ina maana kwamba bashiri moja kwa 1.000.000 itakua imemaliza kubashiri. Kwa hali ya ubashiri KUSHINDA au KUSHINDWA haitojali kwenye kumaliza ubashiri, bonasi itazawadiwa kama jumla ya ubashiri iliyowekwa kwa 1.000.000 inaweza kua ubashiri mmoja au bashiri 50….hadi muda huo mchezaji anaweza kushinda au akapoteza hela, Kwa kumaliza ubashiri jumla ya kiasi cha ubashiri kitatakiwa kua TSh 1.000.000 (Katika hili tu kiasi cha bonasi kitatumika katika ushindi wako).
 13. Bonasi moja ya ubashiri itatumika katika mchezo mmoja.Bashiri zitakazoongezwa katika mchezo huo zitatumika kwenye akaunti yako halisi;
 14. Machaguo yafuatayo yameondolewa na hayatapaswa kwenye ofa hii: Asian Handicap,Draw no Bet, Special bets, Outrights for all sports.
 15. Vigezo vya ubashiri vitakamilika ndani ya siku 14 ulipokidhi vigezo vya kuweka pesa
 16. Ni lazima kuuliza karibu Bonasi ofa ndani ya siku 7 ulizokidhi. Kama haitatumika ndani ya siku saba bonasi yako itafutwa.
 17. Kiwango cha juu cha ushindi kutoka bonasi ya kuweka na ubashiri uliofanyika katika mtaji wa bonasi ina ukomo mara 10 katika kiasi cha bonasi ulichokiweka (kwa mfano umeweka 100.000 bonasi ya ushindi ukomo wake ni Tsh 1.000.000);
 18. Una haki ya kusitisha hii bonasi muda wowote kwa kuwasiliana na Msaada kwa Wateja kwa barua pepe,au Live chat, Unapositisha bonasi, Kiasi chako ulichokidhi cha kuweka  kitarudishwa kwenye salio lako kuu: Ushindi wowote uliobashiri kwa kutumia bonasi utasitishwa. Endapo ikitokea umepoteza salio la bonasi, Upotevu huu utakatwa kutoka kwenye salio uliloweka na kile kitakachobaki kitarudishwa kwenye akaunti yako kuu;
 19. Ofa hiyo haiwezi kutumiwa kwa kushirikiana na promosheni zingine au ofa maalum.
 20. Winprincess wana haki ya kuondoa promosheni au kubadili vigezo na masharti ya promosheni hiyo muda wowote na mteja atakua na jukumu la kuangalia kwenye ukurasa pindi ambapo yatafanyika mabadiliko yoyote.
Share on facebook
Facebook
Share on twitter
Twitter