RELOAD BONASI YA KASINO 50% HADI 250,000

Je! Unajisikia bahati leo?
Anza na zaidi, shinda zaidi.
Tunasherehekea kila wikendi na Bonasi ya 50% kwa sababu kila mara ushindi huwa ni mtamu sana hasa unapotokana na bonasi!

 1. Ofa hii ipo kwaajili ya wateja waliokuwepo kabla na kuweka pesa.
 2. Ofa hii ipo kuanzia Ijumaa saa 00:00 usiku hadi Jumapili saa 23:59 usiku majira ya Afrika mashariki.
 3. Kiwango cha chini  cha kuweka kwenye akaunti ili upate ofa hii ni Tsh 20,000.
 4. Kiwango cha juu cha bonasi kwa mchezaji au akaunti ni Tsh 250,000
 5. Bonasi zote (Isipokua kama imefafanuliwa vinginevyo) zinatakiwa kutumika kubashiri mara arobaini (x40) kabla pesa haijatolewa kwenye akaunti.
 6. Kubashiri kwenye michezo ya Kasino tofauti itachangia kwa viwango tofauti tofauti kutokana na aina ya mchezo. Ifuatayo ni orodha ya michezo na viwango (kwa asilimia) vya michango vya michezo hiyo kwenye kubashiri.
  a) 100% :- Michezo ya Slots
  b)  10%:-  Michezo yote ya Caribbean Stud & Michezo ya Kasino ya Stud Poker, Casino Hold’Em, Red Dog, Pai Gow,Michezo ya Poker, Oasis Poker & Texas Hold’Em Poker
  c) 5%: Michezo yote ya  Roulette (Isipokua inayoendelea/live), BlackJack (Isipokua BlackJack Inayoendelea/live), Baccarat, Video Poker, Pontoon, Beat Me, Punto Banco.
 7. Reload Bonasi itaweza kutumika ndani ya siku 5
 8. Kiwango cha fedha au ushindi utakanao na bonasi utaondolewa kwenye akaunti yako pale tu muda wa bonasi unapokwisha.
 9. Mchezaji hawezi kupata bonasi zaidi ya moja kwa wakati mmoja. Bonasi zitokanazo na kuweka pesa kwenye akaunti haziwezi kujumuishwa bali itatumika moja tu
 10. Uongozi wa winprincess.co.tz una haki ya kuondoa bonasi/ushindi unaotokana na tabia ya ulaghai
 11. Ikiwa, juu ya ukaguzi ikabainika kuwa mchezaji(washiriki) wanashiriki katika mikakati,kufanya vitendo vya kulaghai,kudukua au kujariibu kutumia mapungufu ya programu au mfumo au kufanya kitendo kingine chochote cha namna hii kwa faida zao binafsi, Winprincess ina haki ya kuondoa mara moja stahiki za mchezaji huyu kufaidika na promosheni. Bashiri zilizokamilika pekee ndio zitatambulika
 12. Unapokubali kupokea bonasi inayotokana na kuweka pesa, Tafadhari kumbuka kua bonasi yako itaambatanishwa na pesa ulioweka na zitafungamana pamoja, hii inamaanisha kua utakua na chaguzi mbili, aidha ukizi vigezo na masharti ya kubashiri na bonasi au ughairi bonasi hiyo. Ukichagua kughairi bonasi,bonasi na ushindi wowote unaotokana na bonasi hiyo utaondolewa. Kubashiri kwa kutumia bonasi pamoja na pesa ulioweka kwenye akaunti yako itahesabika kama kigezo cha kubashiri.
 13. Iwapo mchezaji atashinda kutokana na bonasi na akatoa pesa, atapata bonasi nyingine baada ya masaa 24.
 14. Katika tukio la mgogoro wowote, uamuzi wa mwisho utatolewa na WinPrincess
 15. Kiwango cha juu kabisa utakachoweza kushinda ni Tsh. 10,000,000 kwa bonasi hii.