Je, unajua kuwa unaweza kupata bonas ya bure ya kubashiria kirahisi kutoka Winprincess?
Winprincess ni kampuni ya kubashiri inayokupatia kiasi kwa bashiri yako ya kwanza.

Unawezaje kuipata Bonus ya Bure ya Winprincess?
Tunawapatia Bonus ya Bure ya sh 1000/- wateja wetu wapya wote. Ni rahisi kuibashiria bonus hii.

Ingiza namba yako ya simu
Chagua neno lako la siri
Weka pesa kwa mara ya kwanza na kubashiri kiasi kisichopungua sh 1000/-
Akaunti yako ya Winprincess itakuwa imetengenezwa na utaweza kuipata Bonus ya Bure kwa kuwasiliana na huduma kwa wateja. Bonus yako ya Bure itawekwa kwenye akaunti yako. Tafadhali usisahau kuitumia Bonus yako ya Bure ndani ya siku 7.
Kuweka mkeka na kuutazama hakikisha umeingia kwenye akaunti yako ya Winprincess.

Promosheni hii ni kwa wateja wapya wanaojisajili.
Kiasi cha chini kuweka ili uipate bonus hii ni kuanzia sh 1000/- na ni sharti uibashirie kwanza pesa yako yote uliyoiweka.
Mteja anatakiwa aombe Bonus ya sh 1000/- kwa kuwaandikia ujumbe mfupi huduma kwa wateja kwa msaada.
Kiasi cha juu cha ushindi kwa Bonus hii ni sh 1,000,000/- tuu.

VIGEZO NA MASHARTI:
  1. Unapaswa kuitumia pesa yako uliyoiweka ndani ya siku 15. Kama hutoitumia kwa muda huo hutonufaika na Bonus hii.
  2. Kabla hujatoa pesa kwenye ushindi wako kutoka kwenye Bonus hii utapaswa kushinda mara 3 kwenye bashiri zako.
  3. Utapaswa kubashiri mechi 5 ama Zaidi kwenye michezo mbalimbali . Kiwango cha chini cha Odds kiwe 1.50 kwenye kila mechi.
  4. Bonus hii haitotumika kwenye Jackpot za Winprincess.
  5. Vigezo na Masharti yote ya Winprincess yatazingatiwa.