KARIBU BONASI YA KASINO 100% HADI 500.000 .

Ikiwa uko kwenye hatua za mwanzo za kujiunga na Winprincess Casino, tungependa kukupa mwanzo mzuri wa bonasi kabambe uwekapo pesa kwa mara ya kwanza.
Lengo letu kuu ni kukupa wakati mzuri katika casino na kwa kukusaidia uanze vyema na  kwa urahisi, tumekuandalia ofa maridadi ya kukukaribisha mpaka Tsh 500,000 kwa mara yako ya kwanza kucheza nasi

 1. Unastahili kupata ofa hii pale unapoweka pesa kwenye akaunti yako kwa mara ya kwanza tu
 2. Kiwango cha chini cha amana kinachohitajika ili kupata ofa hii ni kuanzia Tsh 20,000
 3. Kiwango cha juu kabisa cha bonasi kinachotolewa kwa kila mchezaji au akaunti ni Tsh 500,000
 4. Bonasi zote (Isipokua kama imefafanuliwa vinginevyo) zinatakiwa kutumika kubashiri mara hamsini (x50) kabla pesa haijatolewa kwenye akauti
 5. Kubashiri kwenye michezo ya Kasino tofauti itachangia kwa viwango tofauti tofauti kutokana na aina ya mchezo. Ifuatayo ni orodha ya michezo na viwango (kwa asilimia) vya michango vya michezo hiyo kwenye kubashiri. 
  a) 100% :- Michezo ya Slots
  b) 10%:-  Michezo yote ya Caribbean Stud & Michezo ya Kasino ya Stud Poker, Casino Hold’Em, Red Dog, Pai Gow,Michezo ya Poker, Oasis Poker & Texas Hold’Em Poker
  c) 5%: Michezo yote ya  Roulette , BlackJack , Baccarat, Video Poker, Pontoon, Beat Me, Punto Banco.
 6. Bonasi zote zinazotokana na Kifurshi cha karibu bonasi zitatambulika na kuweza kutumika ndani ya siku 7 tu.
 7. Kiwango cha fedha au ushindi utakanao na bonasi utaondolewa kwenye akaunti yako pale tu muda wa bonasi unapokwisha.
 8. Mchezaji hawezi kupata bonasi zaidi ya moja kwa wakati mmoja. Bonasi zitokanazo na kuweka pesa kwenye akaunti haziwezi kujumuishwa bali itatumika moja tu.
 9. Uongozi wa winprincess.co.tz una haki ya kuondoa bonasi/ushindi unaotokana na tabia ya ulaghai
 10. Ikiwa, juu ya ukaguzi ikabainika kuwa mchezaji(washiriki) wanashiriki katika mikakati,kufanya vitendo vya kulaghai,kudukua au kujariibu kutumia mapungufu ya programu au mfumo au kufanya kitendo kingine chochote cha namna hii kwa faida zao binafsi, Winprincess ina haki ya kuondoa mara moja stahiki za mchezaji huyu kufaidika na promosheni. Bashiri zilizokamilika pekee ndio zitatambulika.
 11. Unapokubali kupokea bonasi inayotokana na kuweka pesa, Tafadhari kumbuka kua bonasi yako itaambatanishwa na pesa ulioweka na zitafungamana pamoja, hii inamaanisha kua utakua na chaguzi mbili, aidha ukizi vigezo na masharti ya kubashiri na bonasi au ughairi bonasi hiyo. Ukichagua kughairi bonasi,bonasi na ushindi wowote unaotokana na bonasi hiyo utaondolewa. Kubashiri kwa kutumia bonasi pamoja na pesa ulioweka kwenye akaunti yako itahesabika kama kigezo cha kubashiri.
 12. wapo mchezaji atashinda kutokana na bonasi na akatoa pesa, atapata bonasi nyingine baada ya masaa 24.
 13. Katika tukio la mgogoro wowote, uamuzi wa mwisho utatolewa na WinPrincess