20% SPORTS BONASI

PROMOSHENI HII ITADUMU NDANI YA MWAKA MMOJA KUANZIA 01-01-2021HADI KUFIKIA 31-12-201, 11:59. PROMOSHENI HII NI KWA WATEJA WOTE WALIOJISALI NASI. KIWANGO CHA CHINI CHA PESA UNACHOPASWA KUWEKA ILI UWEZE KUDAI OFA HII NI SHILINGI 5,000. KUDAI OFA HII, MTEJA ATAPASWA KUOMBA KUPEWA 20% TU YA KIWANGO CHA PESA ALICHOWEKA KAMA BONASI KUPITIA LIVE-CHAT YETU. KILA MTEJA ATAPASWA KUOMBA OFA HII MARA MOJA TU KATIKA KIPINDI CHOTE HIKI CHA PROMOSHENI HII. BONASI HII INAKUPA 20% YA NYONGEZA KWENYE KILE KIWANGO CHA PESA KILICHOSTAHILI ULICHOWEKA. KIWANGO CHA JUU UNACHOWEZA KUPEWA CHA BONASI HII NI SH. 100,000. ILI UWEZE KUPATA KIWANGO HIKI CHA JUU KABISA ITAKUBIDI KUWEKA KIASI CHA PESA KISICHOPUNGUA SH. 500,000. MTEJA ATAPASWA KUCHAGUA AINA YA BONASI ANAYOITAKA BAADA TU YA KUWEKA PESA (SPORTS BETTING AU CASINO).

  1. ITAKULAZIMU KUTUMIA BONASI HII NDANI YA SIKU 15 TANGU SIKU ULIPOPEWA. KAMA HAITOTUMIKA KABISA NDANI YA MUDA TAJWA, BASI BONASI HII ITAFUTWA.
  2. KABLA HUJAFANYA MUAMALA WA KUTOA PESA KUPITIA BONASI HII, NI LAZIMA UWE UMEFANYA BASHIRI 2 (MBILI) KAMILIFU ZENYE THAMANI MARA MBILI YA DAU LAKO LA AWALI LA BONASI.
  3. BETI YOYOTE YENYE ALAMA CHINI 1.7 HAITOHESABIWA KWENYE MZUNGUKO WA VIGEZO VYA KUWEZA KUPATA FAIDA KUTOKA KWENYE BONASI HII.
  4. BONASI HII INAWEZA KUCHEZWA KWENYE MKEKA WENYE MECHI TANO (5) AU ZAIDI KWENYE CHAGUO LA MCHEZO WOWOTE WENYE ALAMA KUANZIA 1.7 AU ZAIDI.
  5. BONASI HII HAIWEZI KUTUMIKA KWENYE JACKPOT YA WINPRINCESS.
  6. VIGEZO HIVI NA MASHARTI VINAFUNGAMANA NA VIGEZO VINGINE NA MASHARTI YOTE YA WINPRINCESS YANAYOHUSIANA NA OFA.