Je! Wajua kuwa winprincess casino inakulipa 10% ya pesa ulizopoteza kila jumatatu?
Ni kweli kabisa, ikiwa haukubahatika kushinda kwa wiki nzima, tutakupa 10% ya hasara yako ya kila wiki.

VIGEZO NA MASHARTI:
  1. Kiwango cha fedha ulichopoteza kila wiki kwenye kasino kuanzia jumatatu saa 00:00 usiku hadi jumapili saa 23:59 usiku majira ya afrika mashariki kitahesabiwa na asilimia 10% ya kiwango hicho kitarejeshwa kwenye akaunti yako kama cashback bonasi kila jumatatu. Na itapatikana kwa njia hii: (pesa ulioweka – pesa uliotoa – bonasi – kodi katika pesa ulioshinda) x 10%
  2. Kiwango cha chini kitakachotolewa kama cashback bonasi ni tsh 10,000
  3. Kiwango cha juu kitakachotolewa kama cashback bonasi ni tsh 100,000
  4. Pesa halisi tu iliopotezwa kasino ndio itahesabiwa.
  5. Pesa ya cashback bonasi itawekwa kwenye akaunti ya mteja ndani ya siku inayofuata ya kalenda na mteja atapewa taarifa kupitia sms/ujumbe mfupi wa simu.
  6. Cashback bonasi inatokana na kubashiri kuanzia mara moja (x1)
  7. Cashback bonasi inatakiwa bashiri zako zifanyike ndani ya siku tatu vinginevyo banasi pamoja na pesa yoyote mteja aliyoshinda kutokana na bonasi hii itaondolewa.
  8. Bonasi hii haitaweza kutumika au kuhusishwa katika promosheni nyingine