BONASI YA USHINDI WA SIKU 20%

Ili kupata  asilimia 20% ya kuweka bonasi unapaswa kuweka pesa kwa kufuata masharti sahihi ambayo yameorodheshwa hapa chini:

 1. Ili kupata bonasi siku ya Jumatano utatakiwa uweke kiwango cha pesa kisichopungua Tsh 10,000
 2. Kiwango cha juu cha bonasi ni Tsh 100,000
 3. Unaweza kupata bonasi yako mara moja kwa kila Jumatano.
 4. Bonasi inaweza kuchezwa kwa mechi zinazoendelea na mechi za kawaida
 5. Ukiwa na bonas hii, mchezaji utapaswa kuchagua machaguo yasiyopungua Matatu (3) au Zaidi Ili kuweka bashiri kwa kutumia hii bonasi, kiwango cha chini cha odds kwa kila chaguo kisipungue 1.5.
 6. Machaguo ya Draw no Bet na masoko ya Asian” hayatatumika katika hii bonasi.
 7. Endapo hautabashiri ndani ya siku 14 tangu bonasi kuwekwa itasababisha kufutwa kwa bonasi na ushindi wowote unaohusiana.
 8. Ushindi wote utakaotokana na bonasi utabaki kama pesa ya bonasi na hutoweza kutoa kiasi chochote ulichoshinda hadi ubashiri utakapokidhi vigezo.
 9. Bonasi hii haiwezi kutumiwa kwa kushirikiana na promosheni zingine,bonasi au ofa maalum.
 10. Ofa ya wateja wote ni kwa ukomo wa mtu mmoja,  familia, kaya, barua pepe, namba ya simu, anuani ya IP, nambari sawa ya akaunti ya malipo na kushea komputa mfano, maktaba au sehemu ya kazi. Kampuni inayohaki ya kutoa kilichopo kwa ofa yoyote au ofa zote kwa kila mteja au kikundi cha wateja kwa wakati wowote kwa kufata sharia na taratibu zetu.
 11. Winprincess wana haki ya kubadili vigezo na masharti ya ofa hii  wakati wowote na  jukumu la mteja ni kuangalia mabadiliko pindi ambapo yatafanyika.
 12. Winprincess inayohaki ya kumtoa mteja yoyote kwenye hii promosheni, kama ushahidi wa udanganyifu utapatikana. Katika tukio la mgogoro wowote, uamuzi wa mwisho utazingatiwa kikamilifu na usimamizi wa kampuni
Share on facebook
Facebook
Share on twitter
Twitter