• Promosheni hii itadumu kuanzia tarehe 10-12-2021 Mpaka Tarehe 09-12-2022, saa 5:59 Usiku..
 • Promosheni hii ni kwa wateja wote waliojisali nasi. Kiwango cha chini cha pesa unachopaswa kuweka ili uweze kudai ofa hii ni shilingi 5,000.
 • Kudai ofa hii, mteja atapaswa kuomba kupewa 20% tu ya kiwango cha pesa alichoweka kama bonasi kupitia live-chat yetu.
 • Kila mteja atapaswa kuomba ofa hii mara moja tu kwa wiki katika kipindi chote hiki cha promosheni hii.
 • Bonasi hii inakupa 20% ya nyongeza kwenye kile kiwango cha pesa kilichostahili ulichoweka.
 • Kiwango cha juu unachoweza kupewa cha bonasi hii ni sh. 100,000.
 • Ili uweze kupata kiwango hiki cha juu kabisa itakubidi kuweka kiasi cha pesa kisichopungua sh. 500,000.
 • Mteja atapaswa kuchagua aina ya bonasi anayoitaka baada tu ya kuweka pesa (sports betting au casino).
VIGEZO NA MASHARTI:
 1. Utapaswa kuizungusha bonasi hii kwa idadi zisizopungua mara 30 (thelathini) kwenye michezo ya slots ndani ya siku 15 tangia pindi ilipowekwa na kabla ya kufanya muamala wa kutoa pesa. Tafadhali zingatia kwamba, michezo tofauti tofauti huchangia asilimia tofauti kwenye mahitaji ya mzunguko ili utengeneze faida na kuweza kutoa pesa.
 2. Kiwango cha juu kinachoruhusiwa kucheza hakitakiwi kuzidi sh. 10000 ili kutimiza masharti kamili ya mzunguko.
 3. Slots na michezo bunifu (virtual games) huchangia 100% (mbali na zile tu zilizotolewa na classic slots, tazama hapo chini), wakati michezo yote ya mezani, na ile ya mubashara (live) itachangia 5%
 4. Vigezo hivi na masharti vinafungamana na vigezo vingine na masharti yote ya winprincess yanayohusiana na ofa.