Blackbeards Compass

  Wapendwa wateja wetu,
Tunasikitika kutangaza uamuzi wa kusitisha huduma zetu za WinPrincess. Tafadhali unafahamisha kuwa;
  • Kuweka pesa na Kuweka mkeka (kubeti) kutasitishwa rasmi kuanzia tarehe 11 Juni 2024.
  • Utoaji wa pesa yako kwenye akaunti utaendelea kupatikana hadi kufikia tarehe 1 Julai 2024.
  • Timu ya Kituo chetu cha kutoa huduma kwa mteja kwa njia ya Simu kiko tayari kukuhudumia hadi tarehe 8 Julai 2024.
Jisikie huru kuwasiliana nasi! Siku saba (7) za wiki, kuanzia Saa 02:00 asubuhi – 02:00 usiku: 0800 11 7777 (Bure), 0739 61 7777 (WhatsApp)