Wapendwa wateja wetu,
Tunasikitika kutangaza uamuzi wa kusitisha huduma zetu za WinPrincess.

Tafadhali unafahamisha kuwa;
  1. Kuweka pesa na Kuweka mkeka (kubeti) kutasitishwa rasmi kuanzia tarehe 11 Juni 2024.
  2. Utoaji wa pesa yako kwenye akaunti utaendelea kupatikana hadi kufikia tarehe 1 Julai 2024.
  3. Timu ya Kituo chetu cha kutoa huduma kwa mteja kwa njia ya Simu kiko tayari kukuhudumia hadi tarehe 8 Julai 2024.

Jisikie huru kuwasiliana nasi!

 

0800 11 7777 (Bure)

Siku saba (7) za wiki
kuanzia Saa 02:00 asubuhi – 02:00 usiku:

 

0739 61 7777 (WhatsApp)

Siku saba (7) za wiki
kuanzia Saa 02:00 asubuhi – 02:00 usiku:

 

Live Support
(Live Chat)

Siku saba (7) za wiki
kuanzia Saa 02:00 asubuhi – 02:00 usiku: